MEDIA
At Deutsche Welle (DW) kiswahili.
Kutana na vijana wahitimu wa Chuo Kikuu waliojiunga
pamoja na kutengeneza vifaa vya somo la fizikia kwa ajili ya karakana za shule
za sayansi. Vijana hawa kwa sasa wanatafuta nafasi ya kutangaza vifaa vyao
kwenye shule za sekondari nchini Tanzania. Tazama ubunifu wa vijana hawa katika
video inayosimuliwa na mwandishi wa DW Dotto Bulendu.

Subscribe to:
Comments (Atom)